Uainishaji wa Mashairi kwa Kuzingatia Wahusika

Tarehe: Machi 15, 2025 - Kimani wa Mbogo

Wahusika katika mashairi ni wale wanaoleta uhai katika shairi kwa kuzungumza, kujibizana, au kuelezea mawazo na hisia zao. Mashairi ya Kiswahili yanaweza kuainishwa kulingana na idadi ya wahusika au namna wanavyoshiriki katika shairi.

Ngonjera - Ngonjera ni aina ya shairi lenye wahusika wawili au zaidi wanaojibizana. Mashairi haya hutumiwa sana katika maigizo, mashindano ya lugha, na mafunzo ya kijamii. Wahusika wanaweza kuwa:

93 2

Maoni ya Wasomaji

Bado hakuna maoni yaliyoidhinishwa.

Andika Maoni

Shiriki mawazo yako kwa heshima. Baruapepe yako haitachapishwa wala kuonekana kwa wasomaji.