Aina: Samwel Mwangi

Samwel mwangi Gathia kutoka Kigumo jimbo la Muranga, Kenya ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi. Baadhi ya mashairi yake yamechapishwa na gazeti la Taifa leo na mengine kukaririwa katika tamasha za muziki miaka ya 2013 na 2014.