Kifo Takushitaki

Shairi lenye Mada “Kifoo takushitaki”, limejieleza kwa kupitia mbinu ya Jazanda. Msomaji anahitaji umakini na utulivu anapolisoma ili aweze kung’amua maana ambayo mtunzi alikusudia. Maudhui ya shairi hili yanaonyesha ukweli huu.
Soma Zaidi Kifo Takushitaki