Maudhui: Mafumbo

Menimwaga Kama Mchele

Menimwaga Kama Mchele

Nimetambua ukweli, wa usemi wa zamani, Umdhaniaye kweli, hakika siye jamani, Kumkosa huyu mwali, ambaye namtamani, Menimwaga ka mchele, ndo kuku wanidondoe. Nilidhani nimepata, kumbe nimepatikana, Kisura wameremeta, kwa nini umenikana, Nimekuwa ka zezeta, lini tutarudiana, Menimwaga ka mchele, ndo kuku wanidondoe. Tiara mi nimekuwa, napepea kwa mawazo, Takataka nimetupwa, kwa wangu wingi uozo, Mapenzi …

Soma Zaidi Menimwaga Kama Mchele