Aina: Mstahiki Zack

Mstahiki Zack al-maarafu Sauti ya babu ni mzaliwa wa Morogoro,Tanzania. Baadaye alihamia Mombasa, Kenya. Mstahiki ameghani mashairi yake kwenye kipindi Nuru ya Lugha, Radio Maisha na Yard Fm Hivi sasa, Zack anaigiza na anazidi kuimarisha kipawa cha uanahabari, uandishi na uigizaji, katika kituo cha Commenius Learning Centre, Kisii, Kenya.