Aina: Kimani wa Mbogo

Kimani wa Mbogo, anayejulikana kwa lakabu Mwanagenzi Mtafiti ni mtunzi wa mashairi nchini Kenya. Baadhi ya mashairi yake yamefanyiwa uchambuzi na kuzua mijadala redioni. Mengine yameghaniwa na magwiji wanaojulikana kwa kughani, akiwemo Abdallah Mwasimba (KBC). Majarida na magazeti mbalimbali (likiwemo Taifa Leo) pia yamechapisha mashairi yake kwa muda mrefu tangu mwaka wa 2005.

Mwokozi Amezaliwa

Mwokozi Amezaliwa

“Haya basi, Bwana mwenyewe atawapa ishara: Msichana atachukua mimba, atajifungua mtoto wa kiume na kumwita jina lake Emanueli. Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema. Maana, kabla mtoto huyo hajajua kukataa maovu na kuchagua mema, nchi za wafalme hao wawili unaowaogopa zitakuwa mahame.”

Isaya 7:14-16

Soma Zaidi Mwokozi Amezaliwa