Aina: Samuel Nguru

Samuel Nguru Mwangi kutoka Karatina, Nyeri, Kenya ni mwanafunzi katika shule ya upili ya wavylana ya Kenyatta, Mahiga. Samuel anadai alianza utunzi wake baada ya kuisoma riwaya ya Kiza Katika Nuru iliyomwezesha kuvutiwa na ulimbwende na ufasaha wa Kiswahili. Samuel anawavuliwa kofia Bwana Nzuve, Kimani Wa Mbogo, Bi Kabui, Bw. Nzuve na Bi. Mote kwa kumsaidia kuupandisha utunzi wake kwa ufasaha wa kutamanika.