Aina: Tarbia

Tarbia ni shairi lenye mishororo minne kwa kila ubeti.

Ghala

Ghala

Ghala ni shairi linalozungumzia hali ya wakulima wengi hasa wakulima wadogo wadogo ambapo mazao yao yanakosa soko au bei huwa ndogo kiasi cha kuyarundika ndani siku hadi siku.

Soma Zaidi Ghala

Nakula kwa Macho

Nakula kwa Macho

Kadri miaka inapo songa mbele, mwili hudhoofika. Mengi uliyoweza kutekeleza unaanza kushindwa. Shairi hili linaangazia machache ambayo nilikuwa nafanya lakini sasa kutokana na umri mkubwa nabaki kula kwa macho. Narai vijana wakumbuke kuwa leo ni yao lakini kesho itabadilika kwa hivyo wajipange mapema wasiwe kama mimi.

Soma Zaidi Nakula kwa Macho